Nawakumbusha kwamba hii ni first leg, second leg mtaenda Etihad.
Maji wataita mmaNawakumbusha kwamba hii ni first leg, second leg mtaenda Etihad.
Huyo Jones bora aingie mkongwe Young apige hapo kati kwa mara ya kwanza. Maana ana akili sana ya kukaba.
KEY WORD MIUJIZAJones na Victor wallahi i can't wait kuangalia hii combo. Sikuwa najisikia kuangalia hii mechi ila nahisi ina vituko sana acha nikaangalie tu nijionee miujiza ya ole bila kuhadithiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila mtu kama Pogba tumekwiiiiiisha.Alafu kuna watu kila siku wanamponda Pogba na wengine wanasema aondoke. Mi sijui hawa watu huwa wanawaza nini.
Tusipofanya usajili mwezi kazi tunayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo hayupo tumechezea 3 tena kipindi cha kwanza.Hapo Pogba tume mmisi vipi mkuu
Pale Etihad tulipowaamba 2, Pogba alikuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA UMBUMBUMBU..INGIA KWENYE MITANDAO SEARCH TIMU KUBWA UTAPATA JIBU, HALAFU UANGALIE KAMA UTAIKUTA HIYO ARSENANE YAKO.Ukikuta wamebana pua wakijiita timu kubwa ulaya uwezi kuamini
Hata 10 who care?Tatizo mtaani huwa mnatusumbua sana. Nadhani ziongezwe zingine kama 3 at least
Sent using Jamii Forums mobile app