Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kupitia app ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200105-140526.jpeg
hiyo hapo kwa mechi zilizo live chagua English

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa mnaona OGS hafai kuwa kocha basi pia muwe mnatoa na mapendekezo yenu kwamba ni nani mnamuona anafaa kuwa kocha

Sababu haina maana yoyote kusema kwamba kocha hafai halafu hutoi pendekezo la nani unadhani anafaa na kwann unadhani anafaa kuwa kocha na huko alipo ni kipi kikubwa alichofanya ambacho unadhani ataweza kuja kukifanya pale man United

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Allegri..

Ana-uwezo wa kuitengeneza chemistry ya timu na ikawa competetive!

Ila hakuna kocha aliyekamilika ila tunasema 'at least fln'
 
Kocha hana mbinu, mechi ya Arsenal unakunjaje nne wakati timu inapelekeshwa.

Badili mfumo ondoa wajinga weka watu badili mbinu be unpredictable ole na soka lake very predictable.
 
Allegri..

Ana-uwezo wa kuitengeneza chemistry ya timu na ikawa competetive!

Ila hakuna kocha aliyekamilika ila tunasema 'at least fln'
Hamna kocha hapo kocha aliefaa kuifundisha hii timu ni pep na yule babu wa buyern aliestaafu basi wengine wote michosho
 
Afadhali aje, au yule jitu Adama. Maana Rashford nyoro nyoro anajiona star.

Inauma kuona fighter James anafanyiwa sub huku fat and motherfucking oxygen thieves like Rashford na Martial yanazurura ovyo uwanjani
Wamewabeba mara ngapi....?
 
Back
Top Bottom