The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,010
- 11,443
Kocha wetu anashinda mech mbili ya tatu kichapo ya nne suluhu au kichapo anarudi tena kushinda mech mbili
Pamojan a kwamba sipend solskjaer afukuzwe ila hizo ni dalili za kocha tulie nae ni wa daraja la kati