Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Una degedege wewe, uliposema umewahi kuifunga United goli 8 ndio nilipokudharau

Ukakimbilia ukasema goli 6 bila reference nikaona hamna mtu hapa

Nikakupa changamoto ya makombe uliyochukua kwenye EPL ukakimbilia Google ndio unakuja sasa hivi

Hopeless kichwa maji kabisa
Ninazo 13.... Nakushangaa wewe unayesema sijafikisha 8….Tatizo unaweweseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikusaidie trend ya ole hizo mech kufungwa sio rahisi kama unavyofikir arsenal kashinda mech ya tatu ambapo tulitoka kushinda mech mbili ole hajashinda mech 3 mfululizo ina maana kama arsenal ingekuwa mech yetu ya pili angetandikwa arsenal huwa anashinda mech mbili ya tatu kichapo inayofuata suluhu angalia hizo mambo kamfunga city na spurs alinusurika kufungwa na everton mech ya tatu kama leo atafungwa na wolves ina maana mech tatu zijazo anashinda amini nakwambia
Wewe una matatizo mkuu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una degedege wewe, uliposema umewahi kuifunga United goli 8 ndio nilipokudharau

Ukakimbilia ukasema goli 6 bila reference nikaona hamna mtu hapa

Nikakupa changamoto ya makombe uliyochukua kwenye EPL ukakimbilia Google ndio unakuja sasa hivi

Hopeless kichwa maji kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikir mm nategemea google na YouTube kama wewe... Ww fuatilia tu timu yako hujui kitu kuhusu timu za wengine.... Eti nakumbuka 2001 na ukiulizwa huo mpira uliangalizia wapi hujui.....
 
"Simjui Robin na Robin hanijui mimi, hana mamlaka na nguvu ya kunikebehi kwa namna anavyofikiria hiyo sio sawa, namna yangu ya utawala na misimamo yangu haiwezi kubadilika," amesema Ole Sendeka.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Manchester ndiyo lilikuwa la Arsenal, timu kukosa pattern ama system fulani ya mchezo. Matokeo yake wanacheza utumbo mpaka wachezaji wazuri wanaonekana wabovu. Ndio maana fundi kama Pogba anaonekana mbovu (ukiacha tabia zake binafsi)

Tatizo la kubwa United ni kocha. Hapo akija kocha mwenye falsafa utashangaa timu inabadilika na akina Freddy, Martial hao hao. Hao akina Pogba watanyooka tu ama sivyo hauzwi na benchi atakaa sana.

Sasa Ole anafungwa halafu anacheka kwenye interview, tupia lawama wachezaji kidogo wajue umechukizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna kocha pale..kocha kafungwa hlf anakenua meno yote nje!
He pretends to be more optimistic with the club always..
 
IMG_7296.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyie mashabiki wa arsenal mnaoweka kelele humu tulieni, hamuoni ndugu yenu Aaron kashika adabu.

Kushinda mechi moja kelele
 
Back
Top Bottom