D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Walikuwa wanamponda Henderson balaa, ajabu juzi nimepita kwenye uzi wao, kuna mtu alimsifu sana na kusikitika kuumia(japo alikosa mechi moja tu).Kafukue nyuzi za liverpool za mwaka 2016/2017 /2018 uone kama hamna lawama 2019 ndo mmeonja raha ya makomne basi mnajidai hamjui lawama
Mpira sifa huja timu ikifanya poa ikifungwa ni kitu ingine ile pale liverpool ipoteze mech nne kama hajaulizwa shaqir kwa nini hachez kila mech
Endelea kuiona
We hujakatishwa viuno kwanChelsea naye anakata tu viuno..tushindwe tu sisi ku-take advantage,though bado mechi nyingi tu
Ileeeeeeeee
Hakika ulinenaGame ya leo Ngumu(kwa sababu ni rahisi on paper).
GGMU
Sent using simu mbovu
Pogba akose timu ya kwenda?? Acha masikhara mkuu...Nina wasiwasi hakuna club kubwa itakayomchukua Kirusi na anaweza fata nyayo za Mario Balotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanamponda Henderson balaa, ajabu juzi nimepita kwenye uzi wao, kuna mtu alimsifu sana na kusikitika kuumia(japo alikosa mechi moja tu).