BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Sawa bilioneaPole kwa stress
Sent using Iphone 11


Unaomba msaada wa Arsenane, Habari ndio hiyo
We are pumualiaring behind you..... Watch out
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bahna wakati wenu wa kujidai ndo huu.....(mmesota sana asee....mpaka kufika mlipo Leo....)hii january watapoteza point za kutosha....... hawa tutawakimbiza mpk siku ya mwisho lazima tukuchukue ubingwa SISI UTD
tukishinda hizi game 7 mfululizo tayar ni point 21 hizo, tunakua tumebakiza point 3 kuwakamata, presha itakua kubwa kwao......
hili kombe letu tu ngoja tukomae na pale nyuma baily akipona basi mambo yatakua mpera mpera
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicolo Schira: Dortmund paid 30M for Håland's sporting rights (20M release clause + 10M to his father) and a 15M commission fee to Raiola. Haland will earn 6M net salary for the first 2 years, with a wage rise to 8M yearly and a release clause starting with the third year of contract.
Raiola: “It was just a normal negotiation and the player has chosen a different path. If they want to blame someone then, fine, blame me but the player is happy. He has made his choice and we went through a normal process.”
Sawa ila my point hata mnapofungwa muwe active humu sio mpaka mshinde, mbona sisi utd fans tupo active every day weither we loose/winSisi kwa sasa tunashinda mwanzo mwisho mze...huu mwaka ni wa kutoa vipigo tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa poa poaaaaSawa ila my point hata mnapofungwa muwe active humu sio mpaka mshinde, mbona sisi utd fans tupo active every day weither we loose/win
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni Daniel James, sio David..... Naona umekuwa ukimwita sana David James
David James unanikumbusha kipa wa Man City kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
chris smalling ameshatimiza miaka 30 ya kuzaliwa (umri si kigezo cha ubora) lakini sidhani kama atakuwa na jambo jipya atakalohitaji kutuonyesha pindi atakaporudi tena klabuni.Rojo amesogelea mlango wa kuondoka, biashara ya Smalling sidhani kama ni nzuri
Bado nina imani sana na huyu mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokuwa wabishi kwamba ligi ya England is an easy football league amuulize pep mzee pep mbinu zake ya urithi ziko wapi. Thia timw atakimbia league akitafuta kisingizioCity kafa kwa Wolves in and out
Nuno Espirito Santo sio mtu mzuri kabsa
Nakumbuka msimu ulivyokua unaanza cha domo Mourinho alisema premier league title contender
No1 Mancity
No2 Mancity B
Mr Pep welcome to Premier League
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba natamani auzwe tuuuu,pesa yote tumnunue madsonDoo huyo pogba huyo!! Basi tutegemee kiungo kucheza vibaya
Ninawasiwasi morinyo ataikimbia spur mapema, au kutimuliwa aaibike waziwazi. Ni timu ambayo haiwezekani ikafanya japo vzr kama alivyofanyakazi, man utd na Chelsea.Niwanong'oneze kilicho wapata majirani kule dimbani molineux
Sent using my Audi A62017 model
Sijui amekumbwa na nini huyu jamaa...nadhani bado ana mpira wa kiafrika ndo sababuTumrudishe Chris Smalling..Rojo aonyeshwe exit door..itakuwa backup nzuri,na Jones tumpeleke Colchester
Damn,Hivi kumbe bado tuna mchezaji anaitwa Erick Bailly!!??
Tumrudishe Chris Smalling..Rojo aonyeshwe exit door..itakuwa backup nzuri,na Jones tumpeleke Colchester
Damn,Hivi kumbe bado tuna mchezaji anaitwa Erick Bailly!!??
kweli kabisa mkuu...
game na villa refa alipeta, hakuona offside ya firmino....
game na watford refa hakuona offside ya salah
game na SISI UTD refa ALIIONA rafu aliyochezewa Origi... pia refa akazuga hajaona goli la offside la Mane......
kwa kweli liver wanabebwa sana na marefa na Var....
Sent using Jamii Forums mobile app
Eric baily yuko vizuri Sana... Kwenye FIFA19 ananipa burudani.
unaweza kuyataja hayo matatzo tuliyonayo sisi na var???Haya bahna wakati wenu wa kujidai ndo huu.....(mmesota sana asee....mpaka kufika mlipo Leo....)
Liverpool......Kila siku nyie MNA matatizo na VAR kwani kuna nini?