Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,022
atoke kuwa kocha mkuu RB L ,timu iliyopo KO ya CL, inaongoza BuLi aje kuwa msaidizi wa OGS???........Konaball,
Kocha tunaongoza lakini ametuzingua mechi hii ilikuwa ya kuvunja record ya magoli ila mhhh
Kama umegundua kitu bench letu la ufundi kuanzia kocha mkuu Ole na msaidizi wake Mike Phelan pamoja na hawa makocha wa vikosi vya kwanza Kieran Mckenna na Michael Carrick wanafanana sana kiuwezo na kimtizamo hasa hasa linapokuja swala la kuusoma mchezo unapoendelea ambao kwa maoni yangu binafsi uwezo wao wote ni mediocre, mechi ikiwa ngumu tukiwa tumefungwa ni ngumu sana kupata matokeo.
Laiti kama Ed Woodward angekuwa smart walau nusu ya uwezo wa David Gill (He was overseeing club's operations beyond stakeholders interest sio kama huyu kilaza Ed anayeweka mbele zaidi maslai ya Glazer family rather than our happiness as fans sijui kwa ssb kisa alikuwa mshauri wao wakampa kazi kiushikaji) angeenda RB Leipzig kumshawishi Julian Nagelsmann aje kuongeza nguvu kwenye bench la ufundi kama atakubali awe kocha msaidizi with some convincing promises kama atakuja kupewa timu baadae. He's very inquisitive and smart.
Huyo kocha wa RB Leipzig atakuwa ni mpumbavu kama atafanya kama ulivyoshauriKonaball,

happy new year to jesse lingard.Anaonekana ana akili nzuri si katika kucheza lakini katika kuimarisha Afya ya akili ya wachezaji wengine ndani ya ndani.Ukimsikiliza Lingard interview zake u anaona ni mtu mwenye akili nyingi lakini pia anajiamini sana katika confidence japo tu kipaji chake sio kikubwa uwanjani.

atoke kuwa kocha mkuu RB L ,timu iliyopo KO ya CL, inaongoza BuLi aje kuwa msaidizi wa OGS???........
mkuu, umevuta sigara kali sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wanampendea nini huyu dogo maana naona kama anabana nafasi za wengine tu.Yaani man u kwa lingard uvumilivu ni wa hali ya juu.Kwa msimu mzima hata magoli na assist 10 anaweza asifikishe lakin wanawaacha wanauza akina Di Maria.happy new year to jesse lingard
It has been 366 days since Jesse Lingard last registered a goal or assist in the Premier League for man utd.
usisahau jesse lingard ana miaka 27, ina maana jamaa ana uwezo wa kucheza soka kwa miaka mengine 9, unaposema huenda anaandaliwa awe ni miongoni mwa wakufunzi wajao wa klabu ya man utd itakuwa unaleta mzaha.
cha kufurahisha zaidi kwa bwana ole msimu huu amejaribu kuwapa nafasi wachezaji takribani wote waliopo ndani ya kikosi, kupitia system hiyo tumeshuhudia baadhi ya wachezaji wakiimarika kiuwezo kama vile fred, brandon williams, rashford, greenwood n.k
ukija kwake jesse lingard ameshacheza mechi 16 za ligi kuu ndani ya msimu huu lakini hajabadilika.
Asante kwa nong'onezo.Niwanong'oneze kilicho wapata majirani kule dimbani molineux
Sent using my Audi A62017 model
Trust me, panapo mwezi june Ole atasafisha vilaza wote pale carington, Ole anapenda kibarua chake kuliko kitu kingine chochote, ni hatari kuanza na kuuza wachezaj wote na kuingiza wapya kwa wakat mmoja, rebuilding is processSasa wanampendea nini huyu dogo maana naona kama anabana nafasi za wengine tu.Yaani man u kwa lingard uvumilivu ni wa hali ya juu.Kwa msimu mzima hata magoli na assist 10 anaweza asifikishe lakin wanawaacha wanauza akina Di Maria.
Sent using Jamii Forums mobile app
City kafa kwa Wolves in and out
Nuno Espirito Santo sio mtu mzuri kabsa
Nakumbuka msimu ulivyokua unaanza cha domo Mourinho alisema premier league title contender
No1 Mancity
No2 Mancity B
Mr Pep welcome to Premier League
Sent using Jamii Forums mobile app
Doo huyo pogba huyo!! Basi tutegemee kiungo kucheza vibayaLeo Scot hayupo (injury) , mid yetu tutegemee kuwa na Fred na Pogba
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Scot hayupo (injury) , mid yetu tutegemee kuwa na Fred na Pogba
Sent using Jamii Forums mobile app