Kuongoza kwa goli moja ni kubaya sana.Hii game kama tusipopata goli la pili inaweza kutugharimu
Ndiyo, hiyo cross amepiga inaakili sana. Ila Mata anachezesha timu kuliko Perrera.Umeona tofauti ya Perreira na Mata mkuu?
Mata anakabia macho Perreira nguvu ina mfavor.
Alipewa match 2 tu. Kapoteza hiyo lazima watimuePellegrini amefukuzwa kazi baada ya kufungwa na Leicester City
Mbona siku nyingi sana dogo anajiona ashakuwa starRashford anazingua aise ubinafsi mwingi anatukosesha ushindi wa uwakika, naona kama ananza kuhisi tim inamtegemea hivi pale mbele, ukimtazama vizuri unaweza ona hari flani hivi ya u star inamuingia.
Ndo maana nimesema James akae nje aanze Greenwood,ambaye hata kwenye tight space anafunga
Mkuu niliwahi kukwambia kuwa James ni muhimu kuliko Rashford ila anaweza asiwe bora kuliko Rashoford.James ni muhimu sana kutiko Martial, Pereira na Rashford. Sema game ya leo inawaendea vizuri, hii first half Pereira katulia sana anacheza kwa umakini.