Kwani James hawezi kucheza nafasi ya Perrera?Ndo maana nimesema James akae nje aanze Greenwood,ambaye hata kwenye tight space anafunga
Ndo maana nimesema James akae nje aanze Greenwood,ambaye hata kwenye tight space anafunga
Utashangaa next game manager wetu atamuanzisha Lingard instead of GreenwoodNdo maana nimesema James akae nje aanze Greenwood,ambaye hata kwenye tight space anafunga
Nilikuwa namhesabia AWB dk 45 amepiga Cross ngapi hii ndio ya kwanza na goliKwani James hawezi kucheza nafasi ya Perrera?
I don't think so..hiyo nafasi ni Mata,Lingard na Pogba ambao wameshaichezaKwani James hawezi kucheza nafasi ya Perrera?
Ohh ARV mhh post zako hizi baadae ahhh
James ni muhimu sana kutiko Martial, Pereira na Rashford. Sema game ya leo inawaendea vizuri, hii first half Pereira katulia sana anacheza kwa umakini.Ndo maana nimesema James akae nje aanze Greenwood,ambaye hata kwenye tight space anafunga
Anazidiwa hata na tripple C,Chama wa msimbaziPerrera kwasasa hana kiwango cha MUFC, anafundishwa ball na akina Greenwood.
Hakuna kitu kama hicho..James amecheza vizuri kwenye hizi gemu kubwa..tofauti na hapo amecheza kawaida tu..ukisema James ni wa muhimu kushinda Rashford hapo unakuwa ni kama unamtukana RashfordJames ni muhimu sana kutiko Martial, Pereira na Rashford. Sema game ya leo inawaendea vizuri, hii first half Pereira katulia sana anacheza kwa umakini.
Liverpool aache dharau ndio nini sasa yeye hachezi wenzie wanacheza ila still on top
HahahaaHii timu itakuwa imekanyaga dawa ya mtego njiani. Hauwezi kuwa na timu bovu hivi.