Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimefurahi Martial kafunga lakini nilichofurahi zaidi ni kumuona amepiga Tackle hahaa hili ni tukio adimu kuliona kwa bwana huyu mathalani mara moja kwa msimu mzima.

Greenwood macho yangu yapo kwake yupo very calm hana papara anajiamini.
Angalau leo naweza kulala vizuri maana hali si hali kushabikia hii timu sasa hivi na mapenzi hayaishi yanazidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martial leo wamoto kweli kweli!!
Screenshot_20191226-214148_All%20Goals.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi team ukizi pressurised rahisi sana kuzifunga ila ukiziachia zichezi zikupa taabu sana, nitafurahi kama tutashinda goli tano au zaidi
 
Back
Top Bottom