mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,697
- 9,051
Wamewapata mkuu unaangalizia mpira wapWakuu naomba link
Wamewapata mkuu unaangalizia mpira wap
[/QUOTE
Mkuu Mimi siwezi kupunguza mapenzi na hii timu aisee na sijui ni kwann?Wakuu tushapigwa moja la countet attack, Longstuff anatupiga in and out
Hii timu hutakiwi kuipenda sana now days ili results zozote zisikumize
Sent using Jamii Forums mobile app
Atapona tu, tumpe mudaMgonjwa hali yake mbaya sidhan kama atapona huyu
Na mim nilikua ivyo ivyo mkuu ila kwasasa results zozote poa tu, hapa namtania wife namweleza mapenzi yngu kwa manchester utd nimeyamishia kwake, anachekaMkuu Mimi siwezi kupunguza mapenzi na hii timu aisee na sijui ni kwann?
Uwe unaingia hesgoal.com utaona mechi apoWakuu naomba link
Sometym nashindwa ku'hashtag #OGSOUT# kutokana na aina ya wachezaj waliopo, too average, tuna kikundi cha wachezaji wengi ambao hawawezi kuingia ktk 1st eleven ya Leicester cityBang average perreira,,hata mimi namzidi akili ya mpira