Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo la kwanza la Manchester ni kocha

pili, Martial

tatu, Lindelof

usiku mwema
 
Na bado Mtachakatwa Mpaka Mnye..
 
Ushauri anaompa Haaland ni ushauri mzuri sana kwa career ya huyo dogo hizo ni timu zinazomfaa dogo kwa sasa sababu tayari hizo timu ziko stable na akienda huko ana uhakika kucheza na pressure ni ndogo ukilinganisha na United na recently wachezaji wengi waliosajiliwa na United wengi wamechemsha.Kwa kuwa ni shabiki wa United unaona sio sawa jamaa kumshauri aende Dortmund angalia Hakim & Sancho hawa walikosa nafasi Madrid na City now wamekuwa kwenye form baada ya kwenda Dortmund

Hakuna timu ambayo ilitoa hela nyingi kumsajili De Ligt (signing fee,bonus & salary) kuliko PSG,kama jamaa angetaka hela angempeleka huko
Then kwa sasa Barca ni timu mbovu na kocha mbovu ndio maana recently wachezaji waliosajiliwa karibuni Coutinho,Dembele walivyochemsha ,bila Messi Barca hawana timu.
 
Weak argument, laiora is very stupid agent on Earth.
 
Huyu Degea haijaanza kufuja leo mkuu, huwa ana mistakes nyingi sana ambazo kila wakati huwa zinatafutiwa justification asilaumiwe

Nakumbuka msimu uliopita alimpa goli Messi la kifala, kuna mechi na Chelsea akampa Alonso goli la kizwazwa, watu wa kawa wanamtetea kuwa haja settle kiakili kwa sababu ya mazungumzo mkataba.

Hapo sijaongelea enzi zile amekuja premier, alikuwa anapigwa kiboya sana.

Sasa bora ingekuwa tunamng'ang'ania hivyo kwa kuwa hatuna kipa mwingine, lakini ukweli tuna kipa namba 2 mzuri pengine kuliko yeye

Hii ni hofu ya OGS tu, kama anavyoogopa kum sub Martial anapozingua, kama anavyoogopa kumpa makavu Pogba anavyaharibu

Unfortunately OGS anaendelea kujifunza kwa gharama ya maumivu ya mashabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…