Ha ha haaa,walikua wanaleta ujanja ujanja kipindi cha furgeson wanashinda,saiv hakuna kubebwaa tenaMpira wa ujanja ujanja hauna nafasi tena.
Mzee una kichwa kigumu sana, nimekwambia kipindi anashinda owen tuzo ilikuwa inagombaniwa na wachezaji wanaocheza soka ulaya tu, baade BD walijiunga na fifa ikawa inagombaniwa na wachezaji wanaocheza soka duniani kote kabla ya kutengana tena na fifa kuanzisha zao, BD kuchukuliwa na wachezaji wanaocheza ulaya tu haimaanishi haikuwa inagombewa na wachezaji wanaocheza mabara mengineKwa tokea nianze kufatilia Mpira (EPL era) sijawahi kuona mchezaji aliyetokea Nje ya Ligi ya Ulaya kubeba BD, kama yupo nisahihishe.
Wazee wa big match....
Hapa hakuna Sare wala Swala ni Kichapo tu.
Wazee wa big match....
Hahahaaaaaaa
Kilio cha Mourinho siku zote akiwa Man Utd ndio hicho.mlevi wa pesa anapopewa nafasi ya kuzungumza
The club needs a specialist, a sports director, someone between the team, the coach and the owners, someone who can bridge the sides,” Raiola told The Telegraph. “Today you need that specialist because the coach has no time to manage scouts and other tasks and I feel that is lacking at Manchester United.
For the Record, tuna 20 EPLMazee ya kukamia big match yametomb*a na timu ya wahuni wa mtaani Watford ( waburuza mkia ) .
Sent using Jamii Forums mobile app
. Pole yako wewe uliyetomb*a na sisi kwa miaka yote hiyo 20.Man United mtataabika sana, you guys lazima mjue hilo.Poor first half..
Bissaka composure yake nayo imekuwa ya hovyohovyo..he can't even give a pass properly
Lingard kashindwaje kufunga pale??