Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
amkeni amkeni amkeni!
yamepigwa tena
yamepigwa tena
Umeliona gubu la DNA ilo ahhh tumeipenda wenyewe wacha ituuwe potelea pwete
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] amkeni amkeni yamefungwa tena [emoji125]amkeni amkeni amkeni!
yamepigwa tena
Sisi Man u lazima tuwe mabingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fedheha
Watford...... ambaye hata baada ya kutupiga bado yupo mikiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yameliwa tena???kiruuuu[emoji53][emoji53][emoji53]amkeni amkeni amkeni!
yamepigwa tena