Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Conversion rate ya Timo Werner ni ya kawaida sana.
Kwangu mimi naona option mbili sokoni Piatek na Haaland kwanza kwa sababu zifuatazo.
1 conversion rate yao ni nzuri sana golini.
2 Wanafunga magoli ya aina nyingi wanatumia miguu yote miwili, wanafunga kwa header, wanafunga dead balls etc
3 Speed wote wanaspeed nzuri hivyo kwenye counter attack ni useful zaidi hasa ukizingatia cross za DJ wetu.
4 nguvu wana nguvu sana they are not vulnerable kwa defenders wanaweza kufanya battle za 1vs1, 1vs2 or 1vs3 na kuwa na madhara.
5 their movement with or without the ball ni nzuri sana na inasaidia kupata magoli mengi kwa timu.
6 their physical presence in the game inafaa sana hasa kwa ligi yenye physical battle kama epl.
Sisemi kuwa Timo Werner ni mbovu but my choice angekuwa hao niliowataja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious kabisa Haaland/Piatek wana conversion rate kubwa ya kufunga kuliko Werner ?
Unamaanisha hizo sifa zote ulizotaja Werner hana ?
