Introver
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 565
- 656
KiMata kimekuwa kijinga kweli..sehemu ya kupiga pasi nzuri kanatoa tu maboko..
Leo watoto wawili nimewaelewa sana aisee GARNER na mwenzake WILIAMS wamejitahidi sanaCity ajiandae kutoka ..sio wa kucheza na United hii tena BIG MATCH
Yaani haijulikani kipi mnataka nyie viumbe
Dogo GARNER jana ulimuonaje?Anadaka pale Romero, anamwanzishia Matic, Matic anapiga ndefu kwa Rashford..... Rashford, gooooooo
Hahahaha... Hii Man U yangu bhana, pasi mbili goli
Sent using Jamii Forums mobile app
16,500 mzigo aliokuwa analipwa to 130,000 mzigo mpya its like a joke
Nimezoea kukuchapiaNani mbona unaandika habari nusunusu wewe ?
Au umezoea urojo yakhe?
Sent using Jamii Forums mobile app
K weweNani mbona unaandika habari nusunusu wewe ?
Au umezoea urojo yakhe?
Sent using Jamii Forums mobile app