Ila pia kina Maguire pale nyuma wanashindwa kusoma mchezo na kwenda nao fasta fasta.wamezubaa sana ..mfano Fred ni mtu na mwisho na ni mfupi,Dele mrefu..pale ingebidi mtu mmoja akave pale..na sio mara ya kwanza kufungwa goli la aina hiiHii team inafungwa magoli mepesi sana wachezaji awana nguvu ya ku pambana kabisa mechi nyepesi ila wachezaji poor itachukua ata miaka 10 kwa aina ya wachezaji awa kuirudisha Manchester United katika kuwa timu ya ushindani
Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza
Unachukulia mambo kirahisi sanaHii Man U noma sana..Fred bonge la kiungo, nadhani Pogba anajishangaa huko. Martial auzwe tu January.
Tupostie mkuu mbona umeingia upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngap ukoooHii Man U noma sana..Fred bonge la kiungo, nadhani Pogba anajishangaa huko. Martial auzwe tu January.
Hahahaha 15 kafikisha???Ollachuga Oc siku hizi hata tumesahau kuhesabu magoli ya rashidi
14 bado mojaHahahaha 15 kafikisha???
Leo pressure kubwa maka FT [emoji23][emoji23]Tupostie mkuu mbona umeingia upepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngap ukooo
Yes we trustIn José Felix Mourinho we trust
Shida ni kwamba, mechi ndogo ni nyingi, hii ndio sababu Chelsea. Hadi sasa yuko juu yetu kwa 6 points.Tumeshinda kimasihara aisee
Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence
Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
Nahofia akirudi pogba nani atapisha hapo maana Scott na Fred wako poa sana aseee....labda asogee kama 10Tumeshinda kimasihara aisee
Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence
Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
Hii timu haina no 10..Nahofia akirudi pogba nani atapisha hapo maana Scott na Fred wako poa sana aseee....labda asogee kama 10
Ngapi huko????In José Felix Mourinho we trust