Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Muda mwingine Maguire anafanya vitu vya kijinga hadi unashindwa kuona tofauti yake dhidi ya Smalling
 
Yani sisi Chelsea tushindwe kumfunga Shelfed halafu wewe mchovu mchovu Man u ushinde??

Acheni utani bwana..
 
Imagine leo mashabiki wa timu nyingine wanaamini Man Utd kaishapigwa halafu baadae wanaona hata draw inatosha


Nikumbushe tu, hawa Sheffield walimpiga Arsenane, wakampiga Spurs, wakapigwa na Liverpool goli moja ambapo na kipa alitoa zawadi
Hahahahahahahahah Manchester United hii unailinganisha na Tottenham Serious kabisa,Manchester United imefikisha mwisho muda sio mrefu utaona kumlinganisha na Bolton.
 
Jamani Man u kwa aina ya wachezaji mlio nao hata akija Klopp au Pep hawataweza kuipeleka top 4, hebu linganisha mchezaji mmoja mmoja wa Man u na Liverpool au Man city uone tofauti ilivyo kubwa kiuwezo.Hata kwa Leicester bado sana.

Aina ya wachezaji waliopo Man u ni wale wa timu za katikati ya msimamo, nafasi ya 7 hadi 13 ukimtoa De gea,Pogba na angalau Rashford.
 
It is true lakin mchezaji anayejielewa anapaswa acheze kuilinda timu yake na siyo kutaka VAR imlinde kwa faulo ya namna ile.

Angeucheza ule mpira Phil Jones angeweza kuupeleka popote kwa De Gea, nje ikatoka kona au kuutoa wa kurusha sasa kafanya kosa la kipuuzi likatucost.

The same mistake aliyoifanya Phil ya kutegemea Referee aliifanya Maguire kwenye goli la tatu wakati jamaa anareceive mpira Maguire badala ya kuucheza alinyoosha mkono kuonyesha handball refer akamute amekuja kutaka kucheza tayari jamaa alishapiga Volley.

Haya ni makosa yanayoweza kufanywa na average defenders, January ikiwezekana turudi tena sokoni kumchukua Lewis Dunk.
 
Hata technical bench nalo linamapungufu makubwa sana timu ilishapigwa kocha yuko bench katulia anakula jojo.

Hivi Rashford na Martial hawawezi kufanya pressing tunapokuwa hatuna mpira ? Mbona kocha huwa haonyeshi kukerwa na tabia yao ya kupoteza mipira kizembe halafu wanaanza kutembea kama wako beach na girlfriends wao.

This is the hardest time kwangu mimi toka nimeanza kuishabikia man united almost 24 years now.
 
Duh.... Dunk tena

Dunk wa BHA ni mzuri lakini ni mid table teams' players
 
Mbona hata Van Djik alitokea midtable team ?

Tunahitaji sana wachezaji wenye physical presence uwanjani.

Sasa hivi squad yetu ukiondoa Pogba na Scot wengine physically they are not good at all.

This is not Man united I used to see contending for titles.
Duh.... Dunk tena

Dunk wa BHA ni mzuri lakini ni mid table teams' players
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…