Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,928
- 13,909
Walete waleteeee...Huu uzi nitaanza kupost picha za mademu wenye chura.
Nawapa saa 24 mjitokeze la sivyo hapa panageuka danguro
Walete waleteeee...Huu uzi nitaanza kupost picha za mademu wenye chura.
Nawapa saa 24 mjitokeze la sivyo hapa panageuka danguro
Beki la kazi pamoja na Mzee Magwaya.Lisando mpuuzi sana.
Mfungwa hachagui gereza.Kwahiyo Lisandro mwanetu kaamua kuchukua kadi mbili ndani ya dk 4!...GGMU wenzangu huu uzi tuufanyaje sasa!
Shida sio Carrick,shida ni management na wamiliki.Narudia tena utd haiwezi shinda hadi Carrick asepe
Mechi tisa hamna ushindiDah! Nilisema sitaangalia mechi za Man U ila nikajipa moyo nikaangalia.
Moyo ukaumia zaidi.
I rest my case tukutane kipindi kingine.