Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho alipo tupo, kashaanza na ushindi maridadi kabisa! Kilichomshinda Pouchetino kuanzia msimu unaanza kimepata tiba.
Wale Pro-Mourinho mnaweza kuhamia Tottenham....

Nawaonea huruma Sana Tottenham tunaenda kupoteza promising talents ... Ni mara 100 wangemchukua King Kibadeni "Mputa" kuliko huyo mmakonde mweupe kutoka huko Chitoholi ya Ureno.

Nawakumbusha Tu Mou Vita Yangu Na Mou Imeanza Upyaaaaaaa.
 
Mourinho alipo tupo, kashaanza na ushindi maridadi kabisa! Kilichomshinda Pouchetino kuanzia msimu unaanza kimepata tiba.
Hahaha umekutana na Kibonde westham unajiona mjanja.. Westham tangu mwezi wa 9 tarehe 27 hajawahi kushinda mpaka leo ....

Kwenye Epl table Yuko nafasi ya 16... Tena leo kidogo wachomoe betri.

Kwasababu mmeanza kujianika nawaomba muendelee kujianika hivyo hivyo ili Hary Kane atakapoanza kucheza Beki Wa kulia muwe mnaona kwa macho.
 
Hahaha
 
Kwani timu zilizokuwa zinamzuia Tottenham kushinda ndio hizo zinazoongoza ligi? hata akicheza kama golikipa kinachohitajika ni points tatu, kama watu wanachomoa betri kwa pep kuna shida wakichomoa kwa special one?!
 
Naona akili zinaanza kukurudia sasa... Kwa justification yako kumbe unaamini Huyo kocha si lolote Bora Pep , Sio?

@Tutaelewana Tu
 
Kwani timu zilizokuwa zinamzuia Tottenham kushinda ndio hizo zinazoongoza ligi? hata akicheza kama golikipa kinachohitajika ni points tatu, kama watu wanachomoa betri kwa pep kuna shida wakichomoa kwa special one?!
Mpaka January ratiba ya huyo mmakonde iko hivo
IMG_20191123_183151.jpeg
 
Back
Top Bottom