Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Kuna taarifa kuwa baba yake hana alitembelea Carrington.
Transfer News
Haaland ai-follow Twitter account ya Manchester Utd na Twitter account ya Rashford
Wachambuzi wa mambo wanaamini hii ni hint ya yeye kuhamia United
Kwamba itakuwa ni January au summer, bado hilo ni swali ambalo halijapata majibu





