Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Comment yako nimesave
 


Comment yako nimesave

Ila nimesikitika kujua dogo Scot kaumia jamaa mpambanaji, anyway kirusi atakuwepo.
 
Good analysis, January Sosha alete James Maddson wa Leicester, huyu bwana mdogo alishawai hojiwa kasema yeye ni die hard utd fan, huyu sprit yake ni aina ya kina D.James, Scot, Maguire
 
Nafasi ya 3 na ya 4 bado zipo wazi

Tukisajili watu 2 wa maana January angalau creative midfielder (au defensive midfielder halafu Pogba acheze mbele zaidi na asiumie umie) na striker , na OGS akitulia kwenye timu selection tutatoboa
Tutamaliza hata top 6 kweli?
Sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…