Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata kama hatuko pazuri hatuna was was kama walio nao chelsea na Arsenal,
Sisi ndiyo team pekee ambao hatujafungwa na timu bora kuliko zote EUROPE kwa sasa.

Nyinyi tuliwatandika 4, arsenal akalazimisha sare na liverpool nae akalazimisha sare.
Ninacheka kama mazuri dah....kwahiyo wale Crystal Paa na Bournaboys walichokufanya ndio ushajisahaulisha ..!!!!!aroooooohhh
 
Bado nawaza ashley young anapataje namba mbele ya brandon william?
Young ana advantage kubwa sababu anaweza kucheza RB & LB (Shaw,Rojo,Bisaka,Dalot) most of our fullback wanakuwa majeruhi so automatic lazima awepo kwenye match squad na pia anaheshimika as senior players ndio maana amepewa u-captian the only solution ni kutompa mkataba na kusajili wachezaji wengine
 
Perreira akipata kocha Kama guadiola ni hatari saana
 
Kutokana na timu inavyocheza ni ngumu sana kumlaumu mchezaji mmoja mmoja hasa katika kutengeneza nafasi za kufunga.
 
Hata mimi huwa naona kitu miguuni mwake sema huwa sikioni kichwani mwake.
Broo kile nikipaji ukijaribu kuzungumzi vipaji man u na yule huwezi kumuacha yupo vizuri saana ndomana hata Ferguson hatakagi wamuuze we mfwatilie vizuri ule mguu wake ni wadhahabu ajakomaa vizuri tu
 
Pamoja na kufungwa mimi sina wasi wasi na walionao Arsenal na Chelsea.

Nyinyi na Arsenal hata mkiwa juu yetu ni kama tembo kuwa juu ya mti hujui kapandaje lakini at anytime atadondoka tu.
Ninacheka kama mazuri dah....kwahiyo wale Crystal Paa na Bournaboys walichokufanya ndio ushajisahaulisha ..!!!!!aroooooohhh
 
Hapana pamoja na mapungufu ya referee tukubali pia Liverpool walikuwa kwenye kiwango bora sana kwenye ile mechi.
jiulize swali moja tu ile penati ya mapema tu wangefunga city liva ingekua na hali gani uwanjani....je wangeweza rudisha na kushinda ile mechi??? kumbuka goli la mapema walilofungwa city ndio liliwatoa mchezoni mazima wanakuja kurudi mchezoni zimebaki dakika 20 tu mpira kuisha.....ilifika muda ball possess ilisoma liva 20 na huku city 70 na
 
Na anaweza kucheza kama winger wa kulia au kushoto pia, Young anaweza kuwa na advantage kuliko Juan Mata after all experience yake ni muhimu kwenye mechi zenye pressure kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…