Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
Mimi ndio nilisema mkuu wamebadilishwa jukwaa ndio, zile siti za nyuma wame expand staff na kuna nyengine zipo reseved kwa BT.Hili suala lililetwa humu kuna mdau alisema walihamishwa jukwaa.
Hawa hapa Nyuma ya kocha