Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata sasa hivi wanakuja sema siku hizi wako mbali kidogo na benchi la ufundi
Wale ndo mashabiki kidakidaki wa Man U,inyeshemvua liwakejua hawakosi kwenye mechi za Manchester bila shaka walikuwa wapeana shift.
 
Screenshot_20191108-223450.jpeg
 
Marcus Rashford 11 games with 3 goals from open play

Tammy Abraham 12 games with 10 goals from Open Play Na mechi ya 12 bado haijaisha

Also not forgetting that Tammy is younger than Rashford

Aisee! Rashford mshahara wa hivyo maelezo yake vipi?
 
Anzia kuhoji ndani ya Chelsea, akina Giroud, Batshuayi wanapewa mpunga mrefu zaidi, wana magoli mangapi ukiwalinganisha na Tamy

Vipi kuhusu Kane wa Spurs, Jesus wa City.....

Haya sasa, turudi kwa Rashy
Marcus Rashford 11 games with 3 goals from open play

Tammy Abraham 12 games with 10 goals from Open Play Na mechi ya 12 bado haijaisha

Also not forgetting that Tammy is younger than Rashford

Aisee! Rashford mshahara wa hivyo maelezo yake vipi?
 
Mbona chelsea wanacheza vizuri sana..sisi tunakwama wapi??

√Wana wachezaji wazuri kutuzidi kwenye kila idara au vipi??

√Wana mwalimu mzuri au nini??

Maana wanacheza kama timu kweli yenye mipango..

Reece James,Mason Mount,Abraham,Tomori,Zouma=On paper hawa si wakawaida tu??...sisi tunakwama wapi??
 
Ni kuwaonea Man kuwalinganisha na Chelsea yenye vikombe viwili vya epl ndani ya hiyo miaka 6 na kombe la Europa na FA
Kuwalinganisha na man u yenye vikombe viwili vya FA na Europa katika hiyo miaka sita.

Ukiangalia kikosi cha Chelsea kina wachezaji karibia 9 ambao wamekuwa pamoja kwa misimu mitatu mfululizo while kwa united hawazidi wanne.

Chelsea hawajasumbuliwa na majeraha kwa key players toka season imeanza kuliko man United.

Ni kweli kwamba chelsea kuna wachezaji wachanga pia lakini wamezungukwa na watu wa aina gani ?

Chelsea wanashinda mechi kutokana na uwezo wao mzuri wa kushambulia while their defence is weak.

Sisi tunapoteza mechi nyingi kwa goal moja bila that means tuko weak kwenye kushambulia.

Back
Top Bottom