Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli mkuu, Bissaka si mbaya kwenye kukaba, ila hana mentality ya kupandisha timu, kupressurize opponents, kutoa assists wala crosses. Yani yeye alipo ndo alipo. Haoni wenzake kina Robertson na TAA wanavyoibeba Liverpool, wanapandisha na kutoa maasists na majalo ya kumwaga. Rojo naye walewale tu. Nguvu nyiiiingi
 
Ni zipi sababu za msingi za kumuondoa MOURINHO ?

Kwa kinacho endelea pale TRAFFORD ni sawa na kusema nyani ni wale wale ila msitu umebadilishwa jina tu.

Meanwhile on SERIE A, BIG ROM amefunga magoli tisa ndani ya mechi kumi na moja [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mourinho alionewa tu bila sababu
 
Juzi umekuja geto kwangu umenipiga mzinga na mzigo ujanipa ...umeenda mpa bwana mdogo Bornamouth ..uliona ukinipa mimi nitafaidi sana? ?
Kwa hyo wewe ulimwita mwanaume aje akukamulie kwako siyo? Daaa ama kweli unapenda vibaya na ni mgawaji mzuri sana.
 
Ha ha ha Awilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…