Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United ya msimu huu inapocheza na kibonde huwa nina mashaka nayo

OGS anapaswa kumuanzisha Brandon Williams upande wa kushoto kama first teamer, hapa hakuna mjadala hata Shaw atakapopona

Pereira inconsistence imeendelea, tunahitaji kamchawi flani pale namba 10, the creator.

Fred na Tominay wanaendelea kuimarika. Lakini bado tunahitaji the real number 9.

James superb kama kawaida
 
Kama kile kimathial kilivyoenda chin sasa lile lilikuwa tuta kwa mujibu wa manyua
 
Ni kweli wakishangikia, lakini hujui sababu ya wao kushangilia, lakini sio kosa lako
yaani juzi wakati wanapanga makundi ya Calabao cup, kuna kitimu cha daraja la 2 kimepangwa na united walikuwa wa naangalia live,walipoona wamepangwa na ibilisi fc wakashangilia kwa nguvu
 
DonDonald kitu gani kimetokea kwa hivi vilabu vikongwe Man Utd and Arsenal? Tunabamizwa vibaya kuliko ile timu yako Abajalo ya Sinza miaka ya 90's. Timu ndogo zinatayarisha Sinia, bakuli na vijiko kuchukuwa points kila tunapozitembelea. Mmefungwa leo, na mimi nasubiri kipigo leo. Mdudu gani ameziingilia?
 
Hahahahahahahahah Raha sana ukiwa na timu bora unaangalia mpira pembenu unakunywa kahawa na kashata safiiiii.
 
Hatuwezi kulaumu sana. Tulaumu zaidi kutokufunga, wakati wa attack mbele tunakosa organization kabisa
CF ni Martial unategemea utafunga!! Mchezaji mvivu sana. Hajapiga hata shuti moja. Pereira leo alikuwa chini ya kiwango chake na amepiga shuti tatu na sio CF.
 
Sometimes unajiuliza maswali, hivi Hawa ndio wachezaji wa kulipwa?....mtu anacheza lonyolonyo utadhani kajitolea
Mkuu kila mtu alikuwa committed, leo wawili tu walituangusha. Martial & Pereira
 
yaani juzi wakati wanapanga makundi ya Calabao cup, kuna kitimu cha daraja la 2 kimepangwa na united walikuwa wa naangalia live,walipoona wamepangwa na ibilisi fc wakashangilia kwa nguvu
Hukujua kwa nini wanashangilia? Tukujuze tu walishangilia kucheza Old Traford na dunia nzima itawaona siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…