Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tujifariji ki vipi? Mbona mnasahau mapema, mwaka jana mlikuwa mnamsema Judas vibaya na mwaka huu mnamtukuza chacha wakujifariji ni nani kama sio nyinyi ambao mnategemea bahasha zaidi?

Leteni matokeo basi ya kabumbu lenu ... .. . ... naona Belo hana raha pale pressure inapanda na kushuka anachubiri kipenga cha mwisho .. ... wapi scores damn it! Au mnacheza netball leo?

RvP was made for Manchester United loser!
 
Attachments

  • a7a05aa157dcbc03307f0002f7a59ae2.jpg
    a7a05aa157dcbc03307f0002f7a59ae2.jpg
    48.6 KB · Views: 20
Nzi mtotowamjini na mfarisayo,

Pamoja na hayo lakini kumbuka huko nyuma tulikuwa na Brown na Oshea ambao ni mabeki wa kawaida but defence haikufungwa kiasi hiki,tunafungwa sana magoli ya set pieces .Kwa sasa sio wakati wa kumuamini sana Vida kwani anaweza umia anytime
 
Last edited by a moderator:

Ndiyo maana nikasema ni vyema tununue beki 4 na 5 wakali. Kombinesheni ya Rio na Evans si ya kutegemea sana.
 
Last edited by a moderator:
Nzi mtotowamjini na mfarisayo,

Pamoja na hayo lakini kumbuka huko nyuma tulikuwa na Brown na Oshea ambao ni mabeki wa kawaida but defence haikufungwa kiasi hiki,tunafungwa sana magoli ya set pieces .Kwa sasa sio wakati wa kumuamini sana Vida kwani anaweza umia anytime

sasa hivi premier league ni ngumu aisee, angalia chelsea wamepigwa bao 3 leo arsenal 2 man city wamedraw....joint top scorer ni michu wa swansea...niambie miaka ya nyuma ungeweza kuona top scorer wa PL anatokea timu kama swansea? PL saivi ngumu sana..inabidi tubanane hivyo hivyo...we have to improve on our defence evra utumbo we need another left back and a centre back wa kumtoa RIO...
 
Back
Top Bottom