SAF alitakiwa kuvunja benki kumchukua Leighton Baines kama replacement wa Evra,huyu Buttner bado sana
Naona tatizo pia liko kwa mabeki wetu wa kati pia zaidi, at least hata Evra. All in all, beki yote inahitaj overhaul kubwa tu.
siku hizi manchester tuna tabia mbaaaaaaya!tunapenda sana kuzishughulikia timu kwa kuzifunga kwa style ya CHUMA MBOGA a.k.a COMING FROM BEHIND!
naona kama nitajiunga na hii timu ikiwa wataongeza bidii ya style hii ya coming from behind
namtindo wa beki yenu msije lia tu mmeonewa.. poleni sana kwa fikra hizoo za ushindi...
Visingizio mnavyo nyie Anti-Utd kwa mfano jana tumenyimwa goli lakini hamna utd fan anayepiga kelele juu ya hilo mngekuw nyie ndo ingekuwa story ya msimu mzima