Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ashely Young hana sifa za kucheza Utd kwa sasa sijui kwa nini anapangwa
 
Naona kama kawaida tunaruhusu magoli mapema
 
Vida is coming back. Surely, the defence woes will be history.
 
Sijui litaisha lini,leo kutakuwa na mvua ya magoli
 
Carlos Quirez alikuwa mzuri sana kutengeneza defence huyu Mike Phelan hana lolote
 
Wazza makes it 3-3!!

Comical game of football. 6 goals in 30 minutes!!
 
Carlos Quirez alikuwa mzuri sana kutengeneza defence huyu Mike Phelan hana lolote

Mimi sidhani kama Mike ana kosa.
Tatizo ni aina ya beki tuliyonayo sasa.

Evans na Rio siyo wa kutegemea kabisa.
Vida anarudi j5, Smalling na Jones wanaweza kumpa sapoti Vida. Ingawa pamoja na kuhitaji namba 6, tunahitaji namba 4 na 5 wa maana pia.
 
Waamuzi wameibeba Reading timu ya Royal lile limevuka kabisa ingekuwa game timu kubwa kwa kubwa kusingekalika hii utaona haitoongelewa sana.
 
Raf off, Smalling in. Ando off, Jones in. Belo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom