Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Scott McTominay has completed 15 take-ons in the league this season, more than: Mohamed Salah (14); Serge Gnabry (14); Sadio Mané (13); Leon Bailey (12); Sergej Milinkovic-Savic (11); Riyad Mahrez (10)
 
Mind the gap....
 
Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!

FT:
Man UniteLiverpool
32Possession68
7Shots10
2Shots On Target4
509Touches842

299Passes complete652
View attachment 1247844
Umeambiwa tactically. United aliwahi kumwondosha Barcelona Uefa kwa kumtandika 0: 1nyumbani kwake wakati Barca akipossess 81% against 19% za United.
 
Unatafuta nini humu, wenzio wana furahi wewe unaona nongwa? Roho za kichawi hizo. Kwaiyo unataka watu wakishinda walie au wasononeke? Starehe ya mpira ipo hivyo na hauwezi kuibadili. Timu hata ikifunga goli dk ya kwanza bado mashabiki watashangilia ingawaje bado dk 89
Hawa jamaa wangekuwa wanaongoza ligi tungehama mitaa kushinda kamechi kamoja wanajiona wana timu nzuri sana.
 
Hivi watu uwa awamzungumzii huyu mchezaji au mie nina jicho lingine ninapoangalia mpira huyu
Thomas Partey

Hivi watu uwa awamzungumzii huyu mchezaji au mie nina jicho lingine ninapoangalia mpira huyu
Thomas Partey

Stats zake ziko hivyo
 
Attachments

  • Screenshot_20191030-125628_Opera%20Mini.jpeg
    34.2 KB · Views: 4

Aiseeehhh wewe unaejua cha ajabu hata timu ya mtaani hujawahi fundisha
 
Ungejua tu ametamka jicho la 3 kupiga watu vijembe wala usingemsifia.
 
Hivi leo wakuu Ole ataingiaje??

Nimepita kwenye Forum za mabeberu,wengi wanataka baadhi wachezaji wapumzishwe..kama James,Martial,Rashford,Scott

Si tuingize full mziki tu??..au shida iko wapi??
 
Hivi leo wakuu Ole ataingiaje??

Nimepita kwenye Forum za mabeberu,wengi wanataka baadhi wachezaji wapumzishwe..kama James,Martial,Rashford,Scott

Si tuingize full mziki tu??..au shida iko wapi??
Majeruhi, na kwenye press conference amedokezea leo tunapanga watoto,

Kama ya leo inataka uwe na uvumilivu kuiangalia.
 
Hivi leo wakuu Ole ataingiaje??

Nimepita kwenye Forum za mabeberu,wengi wanataka baadhi wachezaji wapumzishwe..kama James,Martial,Rashford,Scott

Si tuingize full mziki tu??..au shida iko wapi??
hawa wote wanaweza wakakaa bench na tukashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…