Kwa wasiomjua Tim Krul kwenye kudaka/kutoa penati
Huyu ndio kwenye World Cup, zilipokuwa zinakaribia dakika za penati, kipa namba moja wa Uholanzi alitolewa ili kumpisha yeye akae katikati ya milingoti
Ila inauma sana kukosa penati
Huyu dogo sina wasiwasi nae hakika tumepata namba 6 akifikisha miaka 25 ni noma mourinho hapa nampongeza
Huko pogba itakuwa sio habar tena mech kibao tumekamua bila yeye naona wachezaj wataanza kukomaa kiakili
Sijawahi kuona timu la hovyo huku duniani kama ARSENAL, iondolewe epl ipelekwe championship.
Hongereni MAN U kwa ushindi wa leo
Nakushauri usitazame huu mpira mkuu,nimetazama dakika 12 nimepata kichefuchefu.
Ole sijui anafundisha nini hawa vijana wake,utumbo mtupu. Hata wakiwa na mpira huoni kitu wanafanya.
Zile goli zetu zimebaki 9 sio.No clean sheet...
ahahahahaha mkuu hivi arsenal wanakwama wapiSijawahi kuona timu la hovyo huku duniani kama ARSENAL, iondolewe epl ipelekwe championship.
Hongereni MAN U kwa ushindi wa leo
Mkuu soma hapo nimekwambia akifikisha miaka 25 kwa sasa bado sanaMkuu asubuhi ulisema huyu Tominay bado sana mpaka tupate mid experienced mara hii umebadili msimamo ?
Jaribu kuwa na akiba ya maneno unatuchangaya sisi mashabiki wenzako
Hutaweza kuwaona hao madogo mech na city au liverpool walipobadili mbinu kipindi cha pili bado tunahitaj watu wa kaziMid ya Tominay, Fred na Pereira imeanza kusettle soon tutaanza kupata mwanga
Njoo ushangilie matokeo sasa, unajaji mechi kwa dk 10?
Ushindi nimeupokea kwa mikono miwili, timu bado bado kuna kazi kubwa ya kufanya. |
Pia nafikir hukuelewa post yangu ipo wazi sana kwa sasa siwez kumuweka scott kwenye level ya viungo makin bado sana nimetoa na muda hapo angalau miaka 25 mtu anaanza kuwa mkomavu huwez hiyo sehem ya kiungo ikaenda pambana na top 5 teams in europe utegemee tutapona kwa jina la timu na wachezaj tulionao ni vitu viwili tofaut class of 92 ilikuwa na wacheza kama 7 wazoefu unaweza kuona namna gan wakina giggs na scholes walikaa muda mrefu kwenys gameMkuu asubuhi ulisema huyu Tominay bado sana mpaka tupate mid experienced mara hii umebadili msimamo ?
Jaribu kuwa na akiba ya maneno unatuchangaya sisi mashabiki wenzako
Ushindi mmoja na timu tuliyocheza nayo si vitu vya kufurahi sana wengi tunajisahau hapa unakutana na timu inayoziba nafasi kama wolves na crystal palace story inakuwa tofaut hawa norwich tumewafunga wanafunguka sana
Ushindi nimeupokea kwa mikono miwili, timu bado bado kuna kazi kubwa ya kufanya.