Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vipi kuhusu future....???? Mwisho wa msimu, 2 to 5 years to come?

Kwamba mchezaji wa United aitamani Leicester au Cristal Palace kisa kwa sasa wanafanya vizuri

Akina Kante, Drinkwater waliacha timu yao ikiwa bingwa mtetezi, wakaenda Chelsea
Umemaliza..
 
Kulipa sio tatizo atafunga? Ni Nani atataka tamkute ya ya Sanchez
PSG have offered Neymar to Manchester United. One year Loan deal, no obligation to buy. Loan fee €25m. United would've to pay 100% of his wages (€560,000). No response from United yet.
Si kwa
 
Gervinho na karamoh ni moto huyu dogo karamoh kakuzwa na inter kisha kauzwa parma leo anawaumiza kafunga goli la kwanza katengeneza goli la pili ametulia sana upande wa darmian upo vizur sana
 
Vipi kuhusu future....???? Mwisho wa msimu, 2 to 5 years to come?

Kwamba mchezaji wa United aitamani Leicester au Cristal Palace kisa kwa sasa wanafanya vizuri

Akina Kante, Drinkwater waliacha timu yao ikiwa bingwa mtetezi, wakaenda Chelsea
Ungemalizia walipofika huko Chelsea waliendelea kubeba makombe pia..

Kila la kheri Chelsea
 
Siku zote ulikuwa unasema timu ina kila kitu isipokuwa tatizo ni Morinho, imekuwaje tena?
Msimamo wangu Ni ule ule "Mourinho a.k.a Nduli" Ni moja ya makocha wa hovyo... Kuendelea kufanya vibaya hakumfutii ubaya wake na Mimi suwezi futa ubaya wake....


Ni sawa uwe na wanafunzi wawili mmoja kwenye mtihani kapata 12 chini ya 100 na wa pili kapata 9 chini ya 100 .. kimahesabu wote hawa wapo kwenye grade F.. Wote Ni vilaza .... Olegunar na Mou wote Ni failers.. Huyo ole kabla ya December anafukuzwa ...


Soma comments zangu ambazo nimeandika Jana na juzi utaona nilichosema kuhusu hizo shutuma ulizoelekeza kwangu.

GGMU
 
Gervinho na karamoh ni moto huyu dogo karamoh kakuzwa na inter kisha kauzwa parma leo anawaumiza kafunga goli la kwanza katengeneza goli la pili ametulia sana upande wa darmian upo vizur sana

Nimemkumbuka sana Lui van Gal japo tulikuwa hatupati matokeo lakini at least hata ball possession ilikuwa inaridhisha lakini sasa hivi kila kitu hovyo

Juzi nilikuwa nacheki game ya Leicester nikawa nawaza kama ndiyo Man United angekuwa anacheza na Soton then wawe vile vile na red card hata ushindi sidhani kama tungepata

Huyo Darmian alikuwa United lakini alionekana hajui kitu hapo Parma anacheza vizuri, timu hii inasikitisha sana ngoja tuone na Leo itakuwaje
 
Jana darmian kacheza vizur sana upande wake inter wameshindwa kuingia kwenye box
 
Mid ya Tominay na Fred + Pereira imeanza kusettle soon tutaona mwanga
Pogba hayupo mkuu? Scott namkubali ila bado sana kwa level ya hii timu panatakiwa kiungo mzoefu kuanzia 26 years ndio yaleyale ya arsenal na matteo wao madogo wazur ila sio level za wakina kovasic ambao tayar wameiva chelsea viungo wao wengi wazoefu lampard hapati shida sasa pereira tena
 
Ratiba ya Leo ya EPL ni ya kipuuzi kwelikweli..

Hawa waingereza nao kumbe wanakunywa gongo!!!!..

Unapangaje mechi tatu muda mmoja na ndani yake kuna big match??
  1. liverpool na totenham wiki hii wamecheza jumanne na jumatano hivyo basi ulikuwepo uwezekano wa mechi yao kuchezwa saa 8:30 kwa saa za Afrika Mashariki
  2. kati ya arsenal na manchester united mmoja wao akacheza saa 11 jioni.
  3. halafu mwengine akamalizia saa 1:30 usiku.
 
Kumbe kamanda wewe ni mshabiki wa man u pole Sana kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…