Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man united were tactically better than liverpool

Liverpool were physically better than man united.

Ole managed to contain the game but failed to win

Man United attacks were lethal than Liverpool attacks

Man United controlled the game 75 minutes liverpool managed to control the game 25 minutes.

The baby faced assassin did a wonderful homework .
Niliandika kabla ya mechi mkuu
 


Mimi mbna sijaelewa unachoongea mkuu , hasa Ile kusema man u ilikuwa lethal to attack kvip, shot on goal mbili, majamaa ni nne, ball possession wapo juu Ila umedai man u more than 75 minutes ana control game, tuelewshane
 
...
 
Refa kawabeba.... Liverpool nao sio wazuri kivile.
Unapekenyuliwa wewe, wasiwe wazur siku moja, man ungekuwa na straiker wa kweli ungeshangaa mwenyewe. Kipindi Cha pili liver walikuja na crossing kwa wingi lkn hazikuzaa matunda, pia tatizo la beki wa kushoto, huyu muajentina wetu anashangaadhangaa tu anasimama, beki hasimami, lkn lojo anashangaa tu uwanjani
 
Roho anatabia ya kusimama usijue hata goli limexhangiwa na uzembe wa beki
 
Kwa jinsi ninavyoiona Man U ni haina tofauti na ile ya Mou kwa hiyo tutegemee kuwa wabovu zaidi na kumaliza ligi kwenye nafasi mbaya zaidi,mana Jose angalau alikuwa na wachezaji wapalanganaji kidogo kuliko hawa,ili hali Ole yeye kawapunguza zaidi. Nina mashaka sana na uwezo wa kocha na siamini kama atatupa mafanikio makubwa.
 
Morinho aliwahi kusema, ukiwa na wachezaji sahihi, the best way to defend, is to attack!
 
Mkuu kwa timu gani uliyonayo, uongeze Martial asaidiane na Rashford

Hatuna timu nzuri kiivyo, kwahiyo wakati tunaongoza goli 1 kwa mtazamo wangu, the best way kulinda ushindi ilikuwa kulinda zaidi
Pengine nilifikir alitakiwa kumuongeza martial wawe na rashford sasa kaharibu mech kocha bado huyu unazuia wakat nyuma una young
 
Mkuu kwa timu gani uliyonayo, uongeze Martial asaidiane na Rashford

Hatuna timu nzuri kiivyo, kwahiyo wakati tunaongoza goli 1 kwa mtazamo wangu, the best way kulinda ushindi ilikuwa kulinda zaidi
Pale tulipoanza kulinda ndipo liverpool wakarudi kwenye ubora wao
 
Walitawala kati, na ndio maana naona angeingia Jones kuongeza ujazo kati tungemaliza game washindi

Martial ni mzuri timu ikiwa ina attack, na tulipunguza ku attack, bora hata angemuacha Rashford, sababu pia anajituma kwenye kukaba
Pale tulipoanza kulinda ndipo liverpool wakarudi kwenye ubora wao
 
Ndio mlichobakiza hicho,uwanjanikufunga goli 2 mechi moja hamuwezi.

Kwenye msimamo mnashika nafasi ya ngapi vile? Utofauti wa point Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa,nawakumbusha tu .
Msimu aliochukua city ubingwa liverpool alimzidi manchester united point ngapi?


Point yangu ni kwamba unapoteza muda kutaja point baina hizi timu mbili maana manchester united hapiganii ubingwa kishapoteza au liverpool anatoka mkiani kana manchester united?
 
Walitawala kati, na ndio maana naona angeingia Jones kuongeza ujazo kati tungemaliza game washindi

Martial ni mzuri timu ikiwa ina attack, na tulipunguza ku attack, bora hata angemuacha Rashford, sababu pia anajituma kwenye kukaba
Kweli nayo ni point kwamba tungeongeza kiungo baada ya liverpool kuimarisha kiungo chao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…