lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,197
- 28,079
Mjiandae na kuchakaa kipigo cha mbwa mwizi jpili mkuu
Ungejua ndio ninachohitaji wala usingejisumbua mkuu😂 Hivi timu yako inacheza na nani weekend hii, maana hivi vitimu vidogo ni ngumu sana kuwa na ratiba zake. |

