Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Wachezaji magarasa kama hao wa nini sasa ?
Kwanini zinakukera Mkuu.
Kwanini zinakukera Mkuu.
HahahahahahahahahWachezaji magarasa kama hao wa nini sasa ?
Mimi nakujua wewe ni Sungura una kula huku na huku,Nakuhakikishia utawageuka hapa baada ya Dk 90.Hahaha mimi niko pamoja na nyie wakuu ..pigeni hizi Liverpool goli tatu moja ..
HahahahahahahahahaMimi nakujua wewe ni Sungura una kula huku na huku,Nakuhakikishia utawageuka hapa baada ya Dk 90.
Pochetino na vijana wake sijui wamekula maharagwe ya wapi msimu huu...
Nini kimempata spurs?
Nini kimempata spurs?
Technically Ole bado sana..Nilijiuliza ni kwa namna gani tulishindwa kumaliza Top four msimu ulioisha kwa ile run yake ya mechi za mwanzo??..nikapata jibu jepesi kuwa technically,tactically and strategically Ole anapwaya..Nampa time though ya kuniprove wrongBrendan Rodgers anaipeleka Leicester City nafasi ya pili...timu alichukua msimu uliopita katikati tena ila anafanya miujiza, Kweli Ole timu imemshinda....sijaona timu ya kuifunga goli 3 maana sisi wenyewe tupo vibaya
This is true my brotherbangi za usiku zenye ukweli ndani yake
wilfred ndidi > scott mctominaykikosi cha kwanza cha leicester city kimejaza wachezaji wengi wenye ubora ambao huwezi kuwakuta kwenye kikosi cha manchester united.
vardy > rashford
Pereyra > wan bissaka kwa mpira wa kushambulia
madison > mata na lingard
jonny evans = lindeloff
tielemans > fred, matic
ben chilwell >luke shaw, ashley young
schmeichel = degea wa nyakati hizi.
bila ya kusahau mbina na uzoefu wa mwalimu wao brendan rodgers
Mkuu Spurs unawazungumziaje??..kuna watu tulikuwa tunamuhusudu sana Pochetino...maybe from there we can learn somethingbangi za usiku zenye ukweli ndani yake
wilfred ndidi > scott mctominaykikosi cha kwanza cha leicester city kimejaza wachezaji wengi wenye ubora ambao huwezi kuwakuta kwenye kikosi cha manchester united.
vardy > rashford
Pereyra > wan bissaka kwa mpira wa kushambulia
madison > mata na lingard
jonny evans = lindeloff
tielemans > fred, matic
ben chilwell >luke shaw, ashley young
schmeichel = degea wa nyakati hizi.
bila ya kusahau mbina na uzoefu wa mwalimu wao brendan rodgers
Hata Mimi nilishangaa Sana zile gamu 5 za mwisho sijui alimaliziaje, ila ndo ambavyo ameanza ligi msimu huu... Anapwaya Sana kwenye gemu planTechnically Ole bado sana..Nilijiuliza ni kwa namna gani tulishindwa kumaliza Top four mwaka jana kwa ile run yake ya mechi za mwanzo??..nikapata jibu jepesi kuwa technicall,tactically and strategically Ole anapwaya..Nampa time though ya kuniprove wrong
dah! sijawahi kuangalia mechi zao msimu huu lakini kiukweli matokeo yao hayafurahishi hata kidogo, nilitegemea usajili wao wa gharama walioufanya msimu huu ungeliongeza ubora wa kikosi chao na kuzidi kuleta ushindani kwa man city na liverpool hatimaye imekuwa ni kinyume chake.Mkuu Spurs unawazungumziaje??..kuna watu tulikuwa tunamuhusudu sana Pochetino...maybe from there we can learn something
Sera ya ulipaji mishahara pale Spurs inaua morale ya timuWachezaji wa tot kwa ujumla wanaonekana waemchoka hawana ar ya ushindi ukiwatizama kwa jicho la tatu unaona kawa ni wachezaji wasiokuwa na furaha ndan yao nahs kuna kamgogoro ka ndan pale tot sio iv iv