Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Three day to the kickoff..
Wale wanaoomba tufungwe ili bodi ishuke na Ole jumlajumla msiache kulike comment yangu..
Tulishakwambia kuhusu allegri ni udakudaku tu hukawa hausikii yaani kila posti unayoleta humu ya huyohuyo tu sasa kwanini tusikuchokeMkuu ukiangalia huyo jamaa Mimi simfahamu humu, nipo humu tunajadiliana bila matusi , mm natembelea nyuzi za majukwaa karibu yote , kuna kujifunza na kutaniana
Sasa huyo jamaa kuleta habari kuwa Alegri anasubiri kibarua man u ananitolea povu , na simjui , hivi hilo ni tatizo kusema Alegri anasubir kibarua man u ? Maana media zote kubwa zimesharipoti ,
Tunatembelea humu kuwatania sio kutukanana na kuvunjiana heshima ....
All in all nawaombea mpigwe Jumapili na Liverpool .
Hahahahahahah.......Vitu vingine tusipangiane kwa sababu hatusaidiani kununua Bando,Kwanini tupangiaane namna ya kutumia mitandao,Tusipangiane maisha kila mmoja afanye anachoona ni sahihi kwake ........ Unataka ushauri wa Manchester United kwa mashabiki wa Arsenal au Liverpool hahahahahahahahah Jishaurianeni wenyewe huo muda wa kuwapa ushauri sisi hatuna.Wengine wanapenda kutembelea majukwaa haya kuangalia baadhi ya maoni ya mashabiki kuhusu timu yao na jinsi gani ya kuimprove kwa maono yao basi nawewe jaribu hata siku moja kuja hata na ushauri ili tukuone wa tofauti kidogo, yani nyie kila siku mnaponda tu na kuongea porojo pamoja na kashfa kwanini watu wasiwachoke..badilika bob
Usiwapangie watu cha Ku commentWengine wanapenda kutembelea majukwaa haya kuangalia baadhi ya maoni ya mashabiki kuhusu timu yao na jinsi gani ya kuimprove kwa maono yao basi nawewe jaribu hata siku moja kuja hata na ushauri ili tukuone wa tofauti kidogo, yani nyie kila siku mnaponda tu na kuongea porojo pamoja na kashfa kwanini watu wasiwachoke..badilika bob
Majamaa yakija OT yanakuwa kama yamenyeshewa mvua..tusishangae draw ya 0-0,1-1 n.k
Liverpool wakifanya ujinga nitawalaani sana.Maana na yenyewe huwa majuha sana, nakumbuka yalitoa suluhu pale OT tukiwa na majeruhi kibao.
Kivipi mkuu??..kwamba tunawapiga za kutosha??Liverpool this time watatisamehe
Kwa iyo mumemzid uyu liver ushind kwa zaid ya game 14, ongezeni na kesho kutwa iwe ya 15 sasa..We are united and the best still come backView attachment 1236112
HahahahahahahahahahahahaHahahahahahah.......Vitu vingine tusipangiane kwa sababu hatusaidiani kununua Bando,Kwanini tupangiaane namna ya kutumia mitandao,Tusipangiane maisha kila mmoja afanye anachoona ni sahihi kwake ........ Unataka ushauri wa Manchester United kwa mashabiki wa Arsenal au Liverpool hahahahahahahahah Jishaurianeni wenyewe huo muda wa kuwapa ushauri sisi hatuna.
Unapozungumzia maswala ya michezo tofauti na kuzungumzia mambo ya udaku kama yakina nandy na menina hili ni jukwaa na moja ya sifa ya jukwaa ukionekana unadeviate lazima ukumbushwe na kama unaona unapangiwa we anzisha uzi wako uone kama kuna mtu atakufatiliaHahahahahahah.......Vitu vingine tusipangiane kwa sababu hatusaidiani kununua Bando,Kwanini tupangiaane namna ya kutumia mitandao,Tusipangiane maisha kila mmoja afanye anachoona ni sahihi kwake ........ Unataka ushauri wa Manchester United kwa mashabiki wa Arsenal au Liverpool hahahahahahahahah Jishaurianeni wenyewe huo muda wa kuwapa ushauri sisi hatuna.
Haujapangiwa cha kucomment umeelekezwa ustaarabuUsiwapangie watu cha Ku comment
Kivipi mkuu??..kwamba tunawapiga za kutosha??
Ustaarabu gani ? Kwanini usikanushe kama udaku ? Unaleta maneno ya shombo, mimi maneno machafu nayajua ,ila nimekustahi. ,sijaona sababu ya kukujibu maneno machafu au matusi.Haujapangiwa cha kucomment umeelekezwa ustaarabu
Holding Midfield unamuweka MaticNa holding midfielder anakuwa nani ?
Sasa kama ulishaambiwa ni udaku zaidi ya mara moja tena na zaidi ya mtu mmoja wewe ulikuwa unataka hoja gani hapo wakati ushaambiwa ni udakuUstaarabu gani ? Kwanini usikanushe kama udaku ? Unaleta maneno ya shombo, mimi maneno machafu nayajua ,ila nimekustahi. ,sijaona sababu ya kukujibu maneno machafu au matusi.
Kwahiyo kaa mbali Mimi , kama huwezi kujenga hoja ,au kunipinga kwa hoja ,
Kwani ni uongo vyombo vikubwa vya habari havijatangaza kuwa Alegri anaelekea man u iwapo ole atatimuliwa akiambatana na mazdkuch na Chan emre ,
Kinachokufanya usinipinge kwa hoja hadi ulete maneno machafu ni kipi? Kama huwez kustahimili siukae kimya ..
Nimekupa like.Three days to the kickoff..
Wale wanaoomba tufungwe ili bodi ishuke na Ole jumlajumla msiache kulike comment yangu..
Nani aliyesema ni udaku zaidi yako wewe ,?Sasa kama ulishaambiwa ni udaku zaidi ya mara moja tena na zaidi ya mtu mmoja wewe ulikuwa unataka hoja gani hapo wakati ushaambiwa ni udaku