Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Juu yake anacheza nani ?
Holding Midfield unamuweka Matic
Holding Midfield unamuweka Matic
2bet MAN U lazima afe nyingi.![]()
Okay tunakuomba usilete taarifa za udakuNani aliyesema ni udaku zaidi yako wewe ,?
Yaani kashuka naye moja kwa moja..jamaa kashuka na mdau moja kwa moja
Tusipangiane cha kukoment ,Okay tunakuomba usilete taarifa za udaku
mi sioni sababu ya kumfukuza ole bodi na maskaut wa hii timu wanatakiwa kusepa wameshindwa kuvumbua vipaji sahihiThree days to the kickoff..
Wale wanaoomba tufungwe ili bodi ishuke na Ole jumlajumla msiache kulike comment yangu..
pogba wa nini? Timu inawachezaj zaidi ya 11Nini nyie mnabishana?..
Pobga kapona?
we nawe sio kukuaminiLiverpool hii imechoka vile hauna uwezo wa kumfunga Man
Three days to the kickoff..
Wale wanaoomba tufungwe ili bodi ishuke na Ole jumlajumla msiache kulike comment yangu..
Majamaa yakija OT yanakuwa kama yamenyeshewa mvua..tusishangae draw ya 0-0,1-1 n.k

Unapozungumzia maswala ya michezo tofauti na kuzungumzia mambo ya udaku kama yakina nandy na menina hili ni jukwaa na moja ya sifa ya jukwaa ukionekana unadeviate lazima ukumbushwe na kama unaona unapangiwa we anzisha uzi wako uone kama kuna mtu atakufatilia
Mjiandae na kuchakaa kipigo cha mbwa mwizi jpili mkuu
Pole sana mkuu
Lakini na nyie ni kwanini mnalipenda sana chama letu? Unajua nyie ndio mnafanya tuamini kuna mashabiki wa MUFC na waliobaki wote ni wenye chuki na MUFC na sio mashabiki wa timu nyingine. Yani mpo huko mlipo kwasababu tu ya chuki zenu kwa chama kubwa MUFC.
Mnadai tumeisha ila kwenye uzi wetu mnakunywa chai,mnakula cha mchana na mnakula cha usiku na kulala.
Na mimi nakazia hapaHahahahahahah.......Vitu vingine tusipangiane kwa sababu hatusaidiani kununua Bando,Kwanini tupangiaane namna ya kutumia mitandao,Tusipangiane maisha kila mmoja afanye anachoona ni sahihi kwake ........ Unataka ushauri wa Manchester United kwa mashabiki wa Arsenal au Liverpool hahahahahahahahah Jishaurianeni wenyewe huo muda wa kuwapa ushauri sisi hatuna.
Unawapunguziaje kipigo hawa wanagongwa za kutosha tu na kuna hatrick ktk game hii tena zaidi ya 1 ...Masimiliano Allegri anasubiri tu liverpool imchakaze United 3-0 jpili
achukue ajira yake
Huyu Phil Jones kaumia lini na wapi?The list is looongView attachment 1236696