Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata makocha 3 (Allegri + Morinyo + Acceloti) waajirie kwa pamoja kufundisha utd hawawezi kuirudisha man u kileleni otherwise wauze hizo takataka zote wasajili wachezaji wapya wakuanza nao
Unamzungumzia mourinho alieshinda europa na kashika nafasi ya pili ligi kuu ya uingereza au?

Mourinho peke yake aliiweza united isipokuwa bodi haina watu wa mpira
 
IMG_6456.JPG
 
Unamzungumzia mourinho alieshinda europa na kashika nafasi ya pili ligi kuu ya uingereza au?

Mourinho peke yake aliiweza united isipokuwa bodi haina watu wa mpira
Bodi na hizo takataka, team yenu inahitaji reforms
 
It's another clean sweep for Liverpool in our combined XI, this time chosen by Jose Enrique!

Disagree? Let us know below...
Screenshot_2019-10-16-21-41-24.jpeg
 
Back
Top Bottom