Mkuu hivi aliyemsajili Eric Djemba Djemba alikuwa nani?
Kamueka pogba kulia namba ambayo haichezi kabisa
*Manchester United have only one league goal in October, let us see how they will still choose their goal of the month*
Toka mwanzo nipo kinyume na utamaduni wa kujaza waingereza Man Utd.Gareth Southgate says some of his players aren't playing well for their clubs...
So why are they playing for England?https://t.co/W47hIqkLjl
Just imagine.
Hata akili za wasio na akili zinaweza kuona hapo hamna akili.Akili za kuuliza "hizi akili" tunatoa wapi unazitoa wapi?
Sasa hii itakua Manchester United au England
Jamani man utd yangu imekuaje sijui,zamani international breaks zilikuwa zinaboa,lakini siku hizi ndio kichaka cha kupumzikia.
"Nonsenses? " munaitoa Nu Casto kwenye danger zone na munaelekea nyie ..Kila mda munaijadili timu isiyo na uhakika wa kupata hata shot on target halafu una Sema ni nonsenseFind another place to vomit these nonsenses.
We don't give hoes cheap popularity.
Mwaka upi huo ..ujawahi kumtesa Liverpool wewe...Atakachofanywa na liva mmmh
Miaka ile tuliwatesa sana liva sasa ivi ni zamu yetu kuteswa na wao.....
"Nonsenses? " munaitoa Nu Casto kwenye danger zone na munaelekea nyie ..Kila mda munaijadili timu isiyo na uhakika wa kupata hata shot on target halafu una Sema ni nonsense
Ole wenu ...
Hero kwetu..
Kila la kheri Chelsea
*Manchester United have only one league goal in October, let us see how they will still choose their goal of the month*
Haya ndo maombi yangu kwenu mpk sasa ,siwaombei mabaya kabisa mieMaombi yang msishuke daraja tu maana ntakosa wa kuwasimanga weekend kwenye hiz nyuz za michezo
Ila mkimaliza nafas ya 16 itapendeza
Uyu almkuta lampard akiwa ajakaa vizuri ..subiri akutane Naye tena..Hivi hujui Kuwa Man U alikupiga 4 kavu? Kwanini huwajengei heshima?
Itakuwa timu ya taifa ya Uingereza sasa