Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku hizi jukwaa la Chelsea la moto. Hakuna kupiga umbea tena
 
Abraham anaweza vipi?

Management mambo ya mpira ni zero huwez uza lukaku na herrera kwa mpigo bila replacement kupata


Maandishi yako yanatia huruma kama wahanga wa mlipuko wa Moro. Sasa hivi hata umbea umepungua majukwaa mengine. Leo mpk umemkubali Abraham sasa ngoja mkutane naye muone atakachowafanya.

Kubalini tu zama zenu zimeisha
 
Kuna mtu humu alinitukana sana kuhusu mourinho nahisi dawa inamuingia kisawasawa jibu kapata

Toka astaafu sir alex mourinho alikuwa kocha sahihi wa manchester united
Hahahahahahahahah Si umtaje tu,radika Hahahahahahahahah
 
Wakuu munamoanaje yule jamaa wa Newcastle united Saint-Maximin.

Nilipenda soka lake vyenga vingi hata goli la Longstaff lilitokana na assist yake.


Ana miaka 22 anaupiga mwingi hili Rashford eti bado anafundishwa!.


Na ole pumbavu.
 
Sasa naanza kuzikumbuka zile comeback za Morihno, na ile substitution yake pendwa na Fellaini .
At least tulikua na matumaini yakupata dro tim ikiwa nyuma hata goli mbili zinarudi, uyu ndugu yake Olesendeka kafail kila kitu namashaka na uwezo wake.
 
Update :Tumecheza mechi 8 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 3 tumefungwa mechi 3
Tumefunga magoli 9 tumefungwa magoli 8
Liverpool wametuacha point 15 ,Man City ametuacha point 7,Arsenal ametuacha point 6
Mna point 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…