Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wenye mikeka wanasonya......... Wengine wameenda kutoa mingine mipya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpira unajua kustaajabisha sana. Usishangae kesho MUFC ikapigwa tano na Newcastle halafu MUFC ikaja kumchabanga sita bila Liverfools.
 
Mpira unajua kustaajabisha sana. Usishangae kesho MUFC ikapigwa tano na Newcastle halafu MUFC ikaja kumchabanga sita bila Liverfools.
Ikitokea ivi itakuwa furesh sana ..wale liver uwezo wa kuwamudu munao kabisa ..kesho pigweni ili mupate khasira za kuwaburuza Liverpool ..mimi nitawaunga mkono ..mkipenda na mguu kabisa
 
Heri kipindi cha Mourinho angalau nilikuwa nampenda kocha
Sasa sa hivi huo Ole simkubali,wachezaji hakuna hata mmoja nayemkubali....sijui hata nabaki kwa ajili gani mammmae zao wale wanaenda uwanjani kukimbizana tu kubabake zao
Hahaaaaaaaaa
Mi huwa napita kusoma comments tu nishachoka hadi kuchangia
Natukana kimya kimya tu,siku nyingine nasusia kuangalia ila najikuta napoteza mb kuangalia online...
Mechi ya Europa baada ya kipindi cha kwanza tu nikachoka roho na mwili nikaingia kwa mziki


So i feel you..for real i feel you baby!!
 
Nawakumbusha tu aise ni St.james park leo ndo geto mnalojipeleka
 
LEO WANA MAN U TUWE NA IMANI TUNASHINDA NIMEIANGALIA NEWCASTLE YA STEVE BRUCE NI WABOVU BALAA KULIKO SISI... WANACHEZA 5-4-1 MUDA WOTE WAKO NYUMA.. NINA IMANI TUKIPATA KA GOLI KAMOJA KAMA KAWAIDA YETU MSIMU HUU WAKUFUNGA KAGOLI KAMOJA BASI HAWA JAMAA HAWAWEZ KUKASAWAZISHA... ILA WAKISAWAZISHA TU BASI ITAKUWA SARE YA 1-1 MAANA MAN U KWA SASA HATUNA UWEZO WA KU SCORE GOLI ZAIDI YA 2 UKIACHA ILE MECHI YA CHELSEA TU TULIOMGONGA 4-0.. KWAHIYO LEO MAN U KUSHINDA 1-0 AU MECHI SARE 1-1
 
Kila timu inayokutana na MUFC inataka kuonyesha makali yake. Usishangae Newcastle wakageuka Man city. #9 yetu Rashford?😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…