United tunastrughle kwa kukosa wachezaji wenye viwango, Madrid inao wachezaji bora isipokuwa kipa lakini wanaangaishwa balaa. Sijui tatizo kocha!?
Huyo naye kiwango average. Wachukue Sacho na Neres kutoka Ajax, viungo wa kati haohao tutapenya. Type ya Daniel, Sancho, Neres, Joao, Junior hawa madogo ukiwa nao watatu mtakimbizaWoodward hawezi kusajili mchezaji mzuri hivyo
Ukiona mchezaji mzuri kasajiliwa basi atarudisha hela yake kwenye mauzo ya jezi.Woodward hawezi kusajili mchezaji mzuri hivyo
Una uzi wewe?? acha kuchekesha walionuna.Eti uzi wetu [emoji13][emoji13][emoji13]Kaa kimya
Kwanza sio Uzi wenu huu
Hapana hajawahi
Hajawahi kivipi mkuu? Amecheza timu ya watoto akaingia timu ya wakubwa akacheza hadi 2016 kama sijakosea. |
Ilikuwa uporaji mkubwa sana.
Navyojua linesman tunaweza mtetea katika tight calls(accuracy inapokuwa shida mtu akizidi inches hivi) sasa yule kaiba kabisa sio alikosea
Ukitaka kujua tofauti ya kocha na mtia chachu utaiona kwa huyu Pochettino. Tangu Eriksen aseme wazi anataka kuondoka amekuwa akimpiga bench na anampa nafasi kidogo na January atamuachia. Ila Ole anakomaa na Pogba tu. Mchezaji akishaanza kusema anataka kuondoka anakosa ari ya kupambania timu. |
Ukitaka kujua tofauti ya kocha na mtia chachu utaiona kwa huyu Pochettino.
Tangu Eriksen aseme wazi anataka kuondoka amekuwa akimpiga bench na anampa nafasi kidogo na January atamuachia. Ila Ole anakomaa na Pogba tu.
Mchezaji akishaanza kusema anataka kuondoka anakosa ari ya kupambania timu.
[emoji23] [emoji23]Tott 2 the bavarians 6
Bora united yangu hatujaenda huko
VAR imewabeba madrid
Goli la ramos ni offside ya wazi kabisaaa
Naanza kuamini yule perez anawanunua hawa marefa.....
RASHFORD:- "Kukimbia uwanjani kunachosha hapo hapo inakulazimu upige shuti kali, nasema ukweli mimi nilisukumiwa kwenye football academy sina kipaji cha mpira, mpira tuwaachie wakina Messi na Ronaldo.
Nilitaka nisome niwe engineer, engineer wa majengo moyo hauko kwenye mpira, nimeshavuna pesa naombeni mashabiki wa man u mniruhusu nikafungue kampuni ya ujenzi.
Ni aibu sana nimeshindwa kufikisha magoli 20 kwa msimu, nashukuru pogba umepona tukupe lawama, lukaku umeniacha kwenye mataa siwezi kufunga natamani nipewe pasi ndefu za kutoka nje nikwepe lawama.
Ndugu zanguni ndio tumefikia huku jamaniView attachment 1221386
Ndugu zanguni ndio tumefikia huku jamaniView attachment 1221386
Ndiyo uache Matusi sasa!
Unawapa sana za uso nawewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]