Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Kiukweli Pepe ni moja kati ya wachezaji niliokuwa nawa admire na nilitamani waje United (kutokana na YouTube clips)
Lakini nilivyomuangalia kwenye games (sio YouTube clips) za Afcon nilianza kuwa na wasiwasi naye. Ghafla nikaona anapigwa benchi, hapo ndio nika kum doupt kabisaaa
Jamaa alikuwa vizuri game ya Liverpool Tu lakini tangia hapo kawa galasa dogo James kamuacha mbali sana
Yaani sana


