Goal la Aubemayang angekua ni Rashford akeangaika sana kufunga .
Yan huyu dg ana ruka ruka tu anakera sna na maPepe yakeArsenal kwa Pepe walipigwa aisee.
Refer katunyima penalti VAR kumbe si lolote
Hii match hata hainogi kabisa.
Ugawaji holela wa kadi umelenga matokeo ambayo tayari yamepangwa mezani.
Mkuu bila penalty hii timu hali teteMna lilia penalty

Nimeshangaa sanaHuyu Kocha ni dwanzi sana anamtoa Perreira na kumuacha Rashfod alie pungukiwa kila kitu.
Moja kati ya mechi mbovu kabisa kati ya Ars na Man.Sare inastahili kwa wote hapa