Ni tanzania nzima nini[emoji28][emoji28]rock city wame kata ila now umerud mdaTANESCO wapuuzi wamekata umeme hebu wakuu nipe link
Tunaendelea kukazia ..[emoji23][emoji23][emoji23]Ile dua iendeleee rashford hana uwezo wa kufikisha bao 15 kwa msimu
Kule arsenal wanalalamika na ninyi munalalamika tuwaeleweje..[emoji3][emoji3][emoji3]
Arsenal kwa Pepe walipigwa aisee.
I see a next Michael Carrick
Tumebahatisha [emoji23][emoji23][emoji23]
I see a next Michael Carrick
Namkubali sana huyu dogo,akili yake ipo kwenye mpira tu. |