Daaaah kweli sisi tunaoangalia hii Timu tuna moyo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe rashidi karudi daaah mi nilitegemea atarudi msimu ujao pimbi huyu...
Daaaah kweli sisi tunaoangalia hii Timu tuna moyo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna moyo kwelikweli
Umemuona fergie nayeye kapandwa na mzuka anataka matokeo
Mwenye link naomba atuwekeeUzuri wa i match makocha wote wame kutana vilaza[emoji28][emoji28]