Leo atatengua rekodi kwetu.Aseno na rekodi yao mbovu kabisaaa kwa big six awapo away hajashinda hata game moja
Leo atatengua rekodi kwetu.Aseno na rekodi yao mbovu kabisaaa kwa big six awapo away hajashinda hata game moja

The spider mgonjwa au vipi?? Dah kwanini fred asingekaa na toney halafu pogba angepiga 10 Lingard apumzike au ndo mtu mwenye hatari zake akiwa hana mpira.
Ok ngoja tuone kikosi cha arsenal pia hakitishi kabisa hata sub hamna kitu. Ole Masai.
Leo atatengua rekodi kwetu.
Kwa hii selection ya Emery tutazidi kuwa tawi.Emery out
Hahahaha humpend rashford mkuu??Kumbe rashidi karudi daaah mi nilitegemea atarudi msimu ujao pimbi huyu...
Kwa hii selection ya Emery tutazidi kuwa tawi.Emery out
Hahahaha humpend rashford mkuu??