Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole akiri kipaumbele cha United kwa sasa ni kusajili striker

Habari mbaya kwa Rashy, may be na Tony
Anaweza akafukuzwa kabla hajanunua hao striker kulikuwa na free agent wengi (Fernando Llorente,Mario Mandzukic ,Frank Ribery )ambao wangeweza kuwasajili kwa mwaka mmoja wakaisaidia timu kwa muda.Ni ngumu sana kusajili mchezaji January
 
Mmh! Fred sijui alimkosea nini Ole.
Mahaba tu ya Ole

Andreas hakuna la maana alilolifanya so far tokea msimu umeanza na maamuzi yake ni ya kawaida sana uwanjani..Kwa quality alizo nazo Fred nadhani ana uwezo wakutoa services nzuri kumzidi lakini ndo hivyo..
 
Mahaba tu ya Ole

Andreas hakuna la maana alilolifanya so far tokea msimu umeanza na maamuzi yake ni ya kawaida sana uwanjani..Kwa quality alizo nazo Fred nadhani ana uwezo wakutoa services nzuri kumzidi lakini ndo hivyo..
Hakuna sehemu Ole atapeleka hii timu kwa hali hii,Fred amefanya kazi kubwa kila anapopata nafasi lakini ndio hivyo tena. Ushindi wetu ni wa bahati katika kila mchezo.
 
Fred na Scott wangekaa kati,Pogba asogee alipo Lingard ila ndio Ole tena kashaamua.😂😂
 
The spider mgonjwa au vipi?? Dah kwanini fred asingekaa na toney halafu pogba angepiga 10 Lingard apumzike au ndo mtu mwenye hatari zake akiwa hana mpira
.
Ok ngoja tuone kikosi cha arsenal pia hakitishi kabisa hata sub hamna kitu. Ole Masai.
 
Aseno na rekodi yao mbovu kabisaaa kwa big six awapo away hajashinda hata game moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…