washabiki wa man utd tuko wakimya sana,game zima comment sijui 4 tena 3 zimetolewa na wacha1!lakini ndio kawaida yetu,tunachonga tunapoona kombe liko njiani kuja kwetu!
ila nyuma tunavuja sana....ni zaidi ya chujio
Lile la kwanza lilitufanya tunywee, ndo sababu comments ni chache. Ila usihofu, tunaendelea kuchabikia timu yetu
Nicheke mie, Wacha tuchubiri mtanange wetu leo jioni na Gunners watakuwa tele kama pishi la udaga .... .... .... ... chichi wengine tutakuwa Emirates .... .... .... poleni wakuu naona ile pressure ilikuwa ya kuua mtu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee.
washabiki wa man utd tuko wakimya sana,game zima comment sijui 4 tena 3 zimetolewa na wacha1!lakini ndio kawaida yetu,tunachonga tunapoona kombe liko njiani kuja kwetu!
ila nyuma tunavuja sana....ni zaidi ya chujio
Nicheke mie, Wacha tuchubiri mtanange wetu leo jioni na Gunners watakuwa tele kama pishi la udaga .... .... .... ... chichi wengine tutakuwa Emirates .... .... .... poleni wakuu naona ile pressure ilikuwa ya kuua mtu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee.
njia rahisi ya kuwafunga chelsea ni kutumbukiza goli si pungufu ya 3 golini kwao.ni ngumu sana kwa man utd kucheza na chelsea na chelsea wasipate goli hata moja!huwa sijui kwanini